{"id":1566044,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566044/?format=json","text_counter":94,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Swali langu ni kama Wizara yako iko na hesabu au data ambayo inaweza kuonyesha usaidizi wote wa kina mama katika taifa la Kenya, ambao wanaweza kufikia yale masoko ambayo yanaweza kuwasaidia katika biashara zao. Asante."}