{"id":1566198,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566198/?format=json","text_counter":248,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Wanafunzi hawa wanatoka Bonde la Ufa. Mwanariadha shupavu Kipchoge alisema katika dunia hii hakuna kisichowezekana. Binadamu anawezafanya chochote kwa utilimifu wa wakati wake."}