{"id":1566857,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566857/?format=json","text_counter":274,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii pia kuchangia kuhusu Hoja ya kupeleka fedha katika kaunti zetu. Yangu yatakuwa mafupi kwa sababu wengi wamechangia. Kwa hivyo, singependa kurudia."}