{"id":1566862,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1566862/?format=json","text_counter":279,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":{"id":13211,"legal_name":"Mohamed Faki Mwinyihaji","slug":"mohamed-faki-mwinyihaji-2"},"content":"Bw. Spika wa Muda, tutapendekeza katika Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchimbaji wa Madini kwamba Serikali ya Kitaifa, serikali za kaunti na jamii zinazoathirika zipokee royalties zao kando kando."}