{"id":1567692,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1567692/?format=json","text_counter":174,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bw. Naibu wa Spika, hakujatangazwa lakini unajua kuna Waziri alipewa kiti na ile siku Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) itatangaza, kutakuwa na by-election . Ninajua Kiongozi wa Wengi atakuwa kule kwa sababu ameongea maneno ya hii shule, masaa mawili yaliyopita."}