{"id":1570325,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570325/?format=json","text_counter":216,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa niwakaribishe wanafunzi wa shule ya Oshwal Academy, Mombasa. Karibuni sana pamoja na walimu ambao mmekuja nao."}