{"id":1570370,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1570370/?format=json","text_counter":261,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante Bi. Spika wa muda kwa kunipa fursa hii. Ninashukuru Kamati ya Fedha na Bajeti kwa kazi nzuri waliyofanya kwa kuleta mpangilio wa ugavi wa fedha."}