{"id":157329,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/157329/?format=json","text_counter":402,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"sababu mvua imepungua hapa nchini. Kwa muda wa miaka miwili, tumekuwa tukiendelea kuteseka. Kwa hivyo, ninampongeza Rais kwa kuhakikisha kuwa Serikali yake imetenga pesa za kunyunyuzia mashamba ili watu wapate chakula pahali popote walipo."}