{"id":1580580,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1580580/?format=json","text_counter":484,"type":"speech","speaker_name":"Molo, UDA","speaker_title":"Hon. Kuria Kimani","speaker":null,"content":"si maumbile”. Hii inatufundisha kuwa thamani ya mtu haipimwi kwa uwezo wa mwili bali ni kwa utu wake, heshima na mchango wake katika jamii."}