{"id":1588374,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1588374/?format=json","text_counter":131,"type":"speech","speaker_name":"Kilifi North, UDA","speaker_title":"Hon. Owen Baya","speaker":null,"content":"Mhe. Ruweida Mohamed, ningependa kusema kwamba umefanya kazi nzuri sana. Watu wa Pwani na Lamu watakukumbuka maisha yao yote kwa kazi hii nzuri uliowafanyia kupata fidia wanapopata hasara ndani ya bahari."}