{"id":1589007,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1589007/?format=json","text_counter":48,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":". Sheria inasema kwamba watu wanafaa kufanya public participation wakati wa impeachment. Advocates wa Governor wanasema public participation haikufanywa vile inavyofaa. Advocate wa county assembly ako na thibitisho ya kuonyehsa kwamba walifanya public participation kwa wodi ngapi kwa vile wako na wadi 20?"}