{"id":1589334,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1589334/?format=json","text_counter":375,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Miraj","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ya sheria ambazo tumezitunga sisi kama wajumbe katika Taifa hili, zinaweka vikwazo na kutufanya kuwa hatuwezi kuingia kuangalia ushahidi ule. Sheria lazima isimame kwa sababu msumeno unakata mbele na nyuma."}