{"id":1589781,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1589781/?format=json","text_counter":152,"type":"speech","speaker_name":"Hon. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Hon. Ruweida Mohamed (Lamu East, JP): Lamu pia inatumia jenereta huko Kiunga na Faza. Kwa hivyo, wasiseme ni North Eastern pekee. It is not the only place . Kwa hivyo, alikuwa anadanganya, arekebishe. Hawa wenzetu wa North Eastern huwa ni wao pekee wakati wa mapato na wanatusahau. Wakijitetea wanasahau sisi watu wa Lamu."}