{"id":1604316,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1604316/?format=json","text_counter":271,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bi. Spika wa Muda, kabla ya Kiongozi wa Wengi katika Seneti na Sen. Methu kuingia, kulikuwa na utulivu hapa ndani. Mtiririko wangu wa mawazo unapotea kwa sababu ya mazungumzo yanayoendelea."}