{"id":1613675,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613675/?format=json","text_counter":94,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Munyi Mundigi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bw. Naibu Spika. Ninajua maziwa inapatikana Kenya nzima. Lakini, wakulima ambao wako na shida ya maziwa ni wale wa kutoka kule Mlima; Embu, Tharaka-Nithi, Meru na Kirinyaga. Mimi nimetaja ile kona ambayo ninajua iko na shida. Kama mambo ya kahawa---"}