{"id":1613754,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1613754/?format=json","text_counter":173,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Karibuni na mjisihi huru. Mnaweza kutembea na kusoma mengi ambayo yanatendeka. Nawahakikishia kwamba mlichagua mtu ambaye ni stadi. Alipofika hapa, tulimchagua awe Naibu Spika na anafanya kazi yake vilivyo."}