{"id":1625162,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625162/?format=json","text_counter":377,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":null,"content":"kuna mambo ambayo siyo mazuri kufanya katika kaunti zetu, bado sisi wanatuchukulia to kama bwege. Siku inafika wakati watakuja kuingia kumi na nane zetu. Na ndipo wengi wakilia kuwa wanapigwa swaga."}