{"id":1625429,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625429/?format=json","text_counter":180,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Faki","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ya maandamano. Kwa hivyo, swala la kuwapiga risasi ni jambo ambalo halifai katika nchi yetu. Tunakiuka Katiba yetu na haki za kibinadamu. Asante kwa kunipa fursa hii."}