{"id":1625440,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625440/?format=json","text_counter":191,"type":"speech","speaker_name":"Sen. (Dr.) Murango","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Ni vizuri tuletewe ripoti kuhusu wanne ambao nimetaja hapa. Tumeshinda siku nzima tukitafuta maombi ili mmoja wao aweze kufanyiwa upasuaji. Alikuwa akifanya kazi katika cybercafe."}