{"id":1625480,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625480/?format=json","text_counter":231,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":null,"content":"Kenya Airways ni shirika la kitaifa linalopeperusha bendera yetu likionyesha mataifa yote katika ulimwengu. Tungetaka lifanye kazi sawasawa na kuwa katika mashindano na mashirika mengine duniani."}