{"id":1625481,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625481/?format=json","text_counter":232,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Madzayo","speaker_title":"The Senate Minority Leader","speaker":null,"content":"Wakati wowote watu wanapofikiria mambo ya Pwani, wanafikiria ni mahali pa utalii pekee. Pia, Pwani kuna wakulima. Zile barabara zinatengenezwa zafaa kwenda pia upande wa ukulima."}