{"id":1625486,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625486/?format=json","text_counter":237,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Amri inasema Wakenya wapigwe risasi lakini Katiba ya Kenya inasema kazi ya Serikali kuu ni kulinda mali na maisha ya wananchi."}