{"id":1625488,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1625488/?format=json","text_counter":239,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Kinyua","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Sio Julia Njoki pekee. Kijana wa kidato cha tatu, James Gachara, alipigwa risasi na kuuawa wakati wa kuadhimishwa kwa siku ya Saba Saba. Je, alikuwa amebeba nini?"}