{"id":162597,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162597/?format=json","text_counter":582,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Kutuny","speaker_title":"","speaker":{"id":61,"legal_name":"Joshua Serem Kutuny","slug":"joshua-kutuny"},"content":"Vile vile, Bw. Naibu Spika wa Muda, natoa changamoto kwa Serikali kwamba, kutokana na Ripoti ambayo imeletwa hapa--- Serikali imepoteza pesa zaidi ya Kshs3.5 bilioni katika sakata ya ufisadi katika halmashauri hiyo. Tungependa hatua kali ichukuliwe ili iwe kielelezo na mfano mzuri"}