{"id":162605,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162605/?format=json","text_counter":590,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Kwa hivyo, Bw. Naibu Spika wa Muda, naunga mkono Ripoti hii. Tunaamini kwamba Serikali haitaiweka chini ya meza au kwenye sakafu."}