{"id":162606,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/162606/?format=json","text_counter":591,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Tunaamini kwamba hatua ya haraka itachukuliwa ili wale wote ambao walifyonza Halmashauri ya Pareto katika Taifa la Kenya na kuwaletea wakulima umaskini mkubwa watiwe ndani mara moja!"}