{"id":1626481,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1626481/?format=json","text_counter":157,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Mwaruma","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Bi Spika wa Muda, ninaomba niachie hapo. Kamati ya Fedha na Bajeti watuangalie wakati wa sera ya tatu ya kugawanya pesa hizi."}