{"id":1626485,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1626485/?format=json","text_counter":161,"type":"speech","speaker_name":"Sen. Wafula","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Asante, Bi Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia na vile vile kupongeza mapendekezo ya usawazishaji wa raslimali katika nchi ya Kenya."}