{"id":167130,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/167130/?format=json","text_counter":607,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwadeghu","speaker_title":"","speaker":{"id":98,"legal_name":"Thomas Ludindi Mwadeghu","slug":"thomas-mwadeghu"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, naomba wenzangu, ambao wananisikiliza kwamba tuutupilie mbali Mswada huu ili watu waende Hague wakaungame dhambi zao huko."}