{"id":167136,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/167136/?format=json","text_counter":613,"type":"other","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"ili tuweze kukubaliana. Bw, Kofi Annan, Bw. Kriegler na wageni wengine walikuja humu nchini. Ilionekana kwamba sisi hatuwezi kuwa na uamuzi wa maswala yetu."}