{"id":173541,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/173541/?format=json","text_counter":584,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Haji","speaker_title":"The Minister of State for Defence","speaker":{"id":26,"legal_name":"Yusuf Mohammed Haji","slug":"yusuf-haji"},"content":"Serikali haikukataa kuwapatia walimu nyongeza. Walijadiliana na wakakubaliana. Shida iliyoko ni kwamba Serikali inasema: \"Kwa wakati huu, hatuna pesa za kutosha. Tumekubaliana na nyinyi. Tuko tayari kuwapatia nyongeza hiyo lakini tutafanya mipango ya kuwalipa kwa muda.\""}