{"id":174363,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/174363/?format=json","text_counter":675,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Muthama","speaker_title":"","speaker":{"id":96,"legal_name":"Johnson Nduya Muthama","slug":"johnson-muthama"},"content":"Ile sehemu alipozaliwa ndipo alimoishi Rais wa Marekani, Bw. Roosevelt. Kwa hivyo, ninajivuna sana na kujisikia kwamba nina uhusiano mkubwa na kaka yetu ambaye ameshinda urais katika nchi ya Marekani."}