{"id":175382,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175382/?format=json","text_counter":166,"type":"speech","speaker_name":"Bi Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"alimuuliza Waziri wa Maji na Unyunyizaji:- (a) anachukua hatua gani kuhakikisha kuwa mabwawa yaliyozibwa na mchanga katika Wilaya ya Samburu yamerekebishwa; na, (b) Serikali ina mipango gani kuchimba visima katika eneo hilo ili kukomesha shida ya ukosefu wa maji."}