{"id":175392,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/175392/?format=json","text_counter":176,"type":"speech","speaker_name":"Bi. Leshomo","speaker_title":"","speaker":{"id":379,"legal_name":"Maison Leshoomo","slug":"maison-leshoomo"},"content":"Bi. Naibu Spika wa Muda, pengine Waziri Msaidizi angetujulisha vizuri ikiwa hayo mabwawa ni 93. Lakini mabaya zaidi ni 43, na eneo hilo linategemea hayo mabwawa zaidi. Wananchi watafanya nini?"}