{"id":176938,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/176938/?format=json","text_counter":114,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Hata kabla hujalijibu swali la mhe. K. Kilonzo, Waziri Msaidizi, hujajibu swali ambalo uliulizwa. Umeulizwa utachukua hatua gani kuhakikisha kwamba wananchi wamehusishwa katika uchaguzi wa wanakamati?"}