{"id":176939,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/176939/?format=json","text_counter":115,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Rai","speaker_title":"","speaker":{"id":203,"legal_name":"Samuel Gonzi Rai","slug":"samuel-rai"},"content":"Bw. Spika, labda sikuelewa vizuri. Tunawaandikia barua Wakuu wa Mikoa ili wapate kuwaandikia Wakuu wa Wilaya katika sehemu zao na kujumuisha watu ambao nimewataja ili wapate kuhusika katika kuchagua wanakamati."}