{"id":186963,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/186963/?format=json","text_counter":182,"type":"scene","speaker_name":"","speaker_title":"","speaker":null,"content":"\"Ningetaka kusema asante kwa Spika kwa sababu hii maneno yote ilipotokea hukoBungeni, wengine walijaribu wakatafuta wakati Spika yuko ng'ambo, wakijua kamayeye angekuwa kwa hiyo kiti, hangekubalia upuzi kama huo\"."}