{"id":190316,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/190316/?format=json","text_counter":32,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Order, Bi. Leshomo! Order, Hon. Members! Bi. Leshomo, Waziri Msaidizi wa Wizara ya Utawala wa Mikoa na Usalama wa Ndani amesema kwamba hana majibu leo na anahitaji muda ili aweze kujitayarisha na akujibu haraka iwezekanavyo. Sasa nimekuuliza: Je, utakubali Waziri Msaidizi apewe muda? Hii ni kwa sababu ni muhimu akujibu na akujibu vizuri."}