{"id":207327,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/207327/?format=json","text_counter":120,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mwandawiro","speaker_title":"","speaker":{"id":253,"legal_name":"Mwandawiro JD Mghanga","slug":"mwandawiro-mghanga"},"content":"Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Swali langu lilikuwa linamuuliza Waziri Msaidizi: Kulingana na vile sasa kuna taasisi nyingi ambazo zinasimamia maji, je ni kazi gani hasa imebaki kwa Wizara ya Maji na Unyunyizaji?"}