{"id":208230,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208230/?format=json","text_counter":218,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Rai","speaker_title":"","speaker":{"id":203,"legal_name":"Samuel Gonzi Rai","slug":"samuel-rai"},"content":"kuwa right ! Sisi hatuwezi kuwa rubber stamp hapa! Kwa hivyo, naiomba Tume ya Bw. Ringera hivi sasa ianze kazi, na wale Mawaziri waliokua wakipokea pesa hizo wazitapike ili zipate kwenda kufanya kazi ya wananchi!"}