{"id":208495,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208495/?format=json","text_counter":135,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mukiri","speaker_title":"","speaker":{"id":334,"legal_name":"Mukiri Macharia","slug":"mukiri-macharia"},"content":"Bw. Naibu Spika ningeomba kwamba hili Swali lingeelekezwa kwa Wizara ya Ardhi, kwa sababu inaonekana kwamba Wizara hii haiwezi kujibu Swali kuhusu shamba ambalo limenyakuliwa."}