{"id":208499,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/208499/?format=json","text_counter":139,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Mukiri","speaker_title":"","speaker":{"id":334,"legal_name":"Mukiri Macharia","slug":"mukiri-macharia"},"content":"Bw. Naibu Spika, ninaweza kufanya hivyo, ingawa Wizara ya Ardhi wanalielewa hili jambo na walisema kwamba watachukua hatua. Hili ni mojawapo ya mashamba yaliyokuwa katika Ripoti ya Ndung'u. Lakini hiyo inawezekana."}