{"id":211393,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/211393/?format=json","text_counter":176,"type":"speech","speaker_name":"QUORUM Mr. Wamunyinyi","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Jambo la nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Naomba kukujulisha kwamba yaonekana kuwa hakuna idadi inayohitajika ya waheshimiwa Wabunge ili kuendeleza kazi ya Bunge."}