{"id":215159,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/215159/?format=json","text_counter":90,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Nyachae","speaker_title":"","speaker":{"id":342,"legal_name":"Simeon Nyachae","slug":"simeon-nyachae"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, hawa waheshimiwa wanamwekelea Rais maneno kwa mdomo wake. Mimi niko na kanda za huo mkutano. Rais alienda hata Wundanyi na alisema: \"Hizi barabara zote ambazo mnauliza, zitaangaliwa na zitatengenezwa\". Hiyo ni kumaanisha nini?"}