{"id":220682,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/220682/?format=json","text_counter":318,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Deputy Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Basi wewe umetoa maombi yako. Maoni yangu ni kwamba Wabunge wengi wanataka kuendelea kuchangia Mswada huu. Kwa hivyo, nitawapa muda zaidi. Endelea, Bw. Wamwere!"}