{"id":226176,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/226176/?format=json","text_counter":302,"type":"speech","speaker_name":"Mr. K. Kilonzo","speaker_title":"","speaker":{"id":172,"legal_name":"Julius Kiema Kilonzo","slug":"kiema-kilonzo"},"content":"Bw. Naibu Spika wa Muda, hoja ya nidhamu yangu ilikuwa inahusu majambazi ambao wako Serikalini ambao hajatueleza ni nani. Ni heri atueleze hao ni akina nani. Kama kweli hana ushahidi wa kutosha, basi aondoe madai hayo."}