{"id":228048,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/228048/?format=json","text_counter":55,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Speaker","speaker_title":"","speaker":null,"content":"Order, hon. Members! Hatutafanya kazi hapa kienyeji. Tutafanya kazi kulingana na taratibu zilizowekwa. Taratibu zetu zinasema hivi: Ikiwa kuna Mbunge ambaye anazungumza, wengine wote wakae kimya. Mtakaa kimya!"}