{"id":229610,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/229610/?format=json","text_counter":40,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Awori","speaker_title":"The Vice-President and Minister for Home Affairs","speaker":{"id":290,"legal_name":"Moody Arthur Awori","slug":"moody-awori"},"content":"Kwa hivyo, nitataka marafiki zangu, wakati tunaendelea, tukumbuke kwamba tutataka uongozi huu uendelee hata mwaka ujao, ili nchi yetu iimarike. Nasema asanteni sana, na ninaomba kupendekeza."}