{"id":230181,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/230181/?format=json","text_counter":438,"type":"speech","speaker_name":"Mr. Moroto","speaker_title":"The Assistant Minister for Health","speaker":{"id":318,"legal_name":"Samuel Chumel Moroto","slug":"samuel-moroto"},"content":" Bw. Naibu Spika wa Muda, mhe. Maj- Gen. Nkaissery ndiye aliyekuja kuongoza kikosi ambacho kilikuja kuua watu. Wakati huu, kuna majeshi ambayo yanatengeneza barabara, yanajenga shule na sio kama yale ambayo aliongoza!"}