{"id":237670,"url":"http://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/237670/?format=json","text_counter":162,"type":"speech","speaker_name":"Capt. Nakitare","speaker_title":"","speaker":{"id":348,"legal_name":"Davis Wafula Nakitare","slug":"davis-nakitare"},"content":"Jambo la nidhamu, Bw. Spika. Inaonekana kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, na hivyo ndivyo Bw. Ojode alivyo. Je, hiyo ni kweli au anafanya mzaha katika Nyumba hii?"}